Monday 10 September 2012

WIZARA YA KILIMO YASEMA HAKUNA NGE MWENYE UMBO LA KAROTI

Katibu mkuu wa Wizara ya Kilimo Bw, Mohammed Said Muya , akionyesha Gazeti  la Raia Mwema  toleo namba  252  la tarehe 1 Agosti 2012 ambalo liliandika makala yenye kichwa cha habari Chembe hai za Karoti ,Nge Zatengeneza Nge Mwenye Umbo la Karoti.

Amesema kuwa Makala hiyo haina ukweli wowote na hivyo  Mifano iliyotolewa ni ile ya kufikirika kwani picha inayoonyeshwa ya N’gombe hai aliyetengenezwa  kwa teknolojia ya uhandisi  baada ya kuchanganya  chembe  hai za ng’ombe  mwenye tabia ya Kibinadamu ni ya Kufikirika.

Waandishi waliokuwemo

No comments: