Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Muungano wa Mashirika
yasiyo ya kiserikali (TANGO) akizungumza na wadau mbalimbali lambapo ameishauri
serikali kuongeza uwekezaji katika huduma za jamii nchini kuliko kuwekeza zaidi kwenye uchumi.Hayo
yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa Muungano wa
mashirika yasiyo ya serikali (TANGO),Bw.Ngunga Tepani katika mkutano wa wadau
wa kupinga umasikini (SADC Regional Poverty Observatory) yaliyofanyika katika
Hoteli Ya Blue Pearl.
|
No comments:
Post a Comment