Shamba la kilimo cha umwagiliaji cha Mbogamboga la Ngongoseke lililoko
katika kijiji cha Nsola wilayani Magu ni mfano wa kuigwa katika
matumizi ya ziwa Victoria. Pichani, nyanya ndogondogo maarufu kwa jina
la nyanyapori zikiwa zimelimwa kitalaam kwenye shamba hilo ambalo,
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alilitembelea Septemba 13, 2012. (Picha:
Ofisi ya Waziri Mkuu)
|
No comments:
Post a Comment