Monday 13 August 2012

INAMAANA KANUMBA KAFUFUKA AU?




Ni kwa jinsi gani wtu walivyo na tabia za ajabu za kuchakachua picha? Picha hii imefumwa kwenye moja ya mtandao ikiwa na maelezo kwamba Kanumba amemzukia lulu mahakamani.