Mweshimiwa Dk Mary Mwanjelwa Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Mbeya akizindua tamasha la jumatatu ya pasaka lililofanyika katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya |
Mwenyekiti wa Kamati Maalumu inayoratibu tamasha la pasaka la kimataifa, Alex Msama akiwashukuru wakazi wa mbeya kujitokeza kwa wingi katika tamasha hilo lililofanyika katika uwanja wa Sokoine Mbeya |
Baadhi ya viongozi mbali mbali wa dini na serikali walihudhuria tamasha hilo |
Mwimbaji wa nyimbo za injili, Solomon Mukubwa akiwatumbuiza wakazi wa Mbeya |
Waimbaji Wa Christ Ambassadors kutoka Rwanda wakiimba kwa furaha katika tamasha hilo |
No comments:
Post a Comment